Huyu ni nani?

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
247
231
We KAMBAYA huyu jamaa anayeonekana kwe video clip anaingia kwe mkutano wa CUF na kuanza kupiga watu si ndo huyu aliyesagwa na raia wema? Na ni mfuasi wa pro.
Sasa unatuambiaje eti waliovamia ni vijana wa CHADEMA?
Nimechukua siku kadhaa kujiridhisha kabla sijakurupuka kuwalaumu CHADEMA. Kumbe mchezo wa kwenu tuu.
Mi ni kada mzuri wa chama chetu ccm kwa hapa duuuu puuuu....fu sn. Mchezo nimeusoma.
 
Back
Top Bottom