Sumatra, itungwe sheria ya kuchimba dawa tuwapo safarini ni kero kwa abiria hasa kwa dada na watoto

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Itungwe sheria ya kuchimba dawa ya itakayompa haki abiria kuchimba dawa,na lisiwe ombi la dereva.
Madereva wengine makaidi ,wanata abiria wachimbe dawa..pale sehemu watakayo wao.... Bila kujali abiria anasumbiwa nini

Nilishuudia dada akijikojolea ndani ya basi... Naomba itungwe sheria ya kumlinda abiria endapo ataitaji kuchimba dawa...
 
Kuepuka hayo inabidi tuwe waangalifu na vyakula/vinywaji tunavyokula tukiwa safarini
Ukisema hvyo inamaana wajawazito,watoto na wagonjwa wasile safar nzima? Ila kuwe na sheria kuhusu kujisaidia uwapo safarini na dereva afuate kma sheria nyingine za barabaran
 
Yaani madreva wengine makatili.
Nilishuhudia mwanamke akijifungua kwenye gari wengine wakilalamika kuchimba dawa na dreva hakusimama.
 
Kila jambo likitungiwa sheria naamini hilo buku litakuwa halibebeki. Kuna mambo mengi yanahitaji busara na uelewa wa kawaida. Kwenda haja ni kawaida ya kiumbe cho chote kilicho hai na zuio lolote ni kumyima mtu haki yake ya msingi. Tatizo ni nidhamu ndogo ya madereva na utingo, bila ya kuelewa kuwa wanaharibu jina la kampuni husika.
 
Ukarimu wao kwa abiria ni pale anapokwenda kukata tiketi...ila baada ya hapo ..mteja kwao ni kero kubwa
 
Back
Top Bottom