Kuna mtandao wenye kazi za wale waliomaliza PhD?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,925
31,850
Hello JF,

Nilikua nauliza kama kuna mtandao wenye kazi za wale waliomaliza PhD?

Hii itawasaidia ambao wanasoma sasa.

Tumeni kazi zenu, msife nazo lol
 
Una maana waliomaliza PhD wasaidiwe kutafuta ajira?!

hapana,kazi zao ziwekwe ili zitumike kama zinafaa na academics wengine,

pia,tutajua wa nani walikopi mahali,:D:D:D:D

hii inaenda beyond personal achievement,jamii inanufaika vipi na shule uliyoisoma?
 
Back
Top Bottom