WanaJF.
Natumai mubukheri wa afya. Napenda kutoa masikitiko yangu kutokana na utaratibu mbovu wa huduma za Bima ya Afya za NHIF katika hospital ya Muhimbili kitengo cha mifupa Almaarufu MOI...
Anatafutwa kwa kosa la wizi kwa njia ya mtandao. Pia namba alio tumia kupokelea pesa haipatikani.
Kwa mujibu wa maelezo kadhaa.... Inasemekana anaishi maeneo ya kimara Dar.
Kama nilivyo toa...
20 - 25 = iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako.
25 - 30 = Hakikisha uwe na...
"Huyu dada mke nilimfahamu kupitia rafiki yake chuoni. Nilipomwona nilishtuka sana 'she is pretty' na ni classic siyo wa njaa. Actually miaka yote sikuwa napenda kudate wasichana wenye njaa...
Wakuu, juzi nilisafiri kwa gari binafsi toka Moshi kuja Dar es salaam. Nilikuwa mwangalifu sana na speed limit hasa zile za 50.
Nilipofika Mombo nikasimamishwa na Trafiki wakasema kuna eneo...
Moja ya nyumba ya makazi katika kijiji cha Igurugabi Bugandika alikozikiwa balozi Kazaura
Wilaya ya Missenyi ina wasomi wa kiwango cha'Uprofesa'zaidi ya arobaini wanaofanya kazi ndani na nje ya...
------IN_FACT--------
NCHI SALAMA IKIWA VITA YA III YA DUNIA ITATOKEA
Pengine baada ya kusoma au kusikia kuhusu vita vya I na II vya dunia ukawa unahisi au kukadiria kuhusu vita ya...
Mwanaume atakayesahau siku hiyo atapewa adhabu kali kwa mujibu wa sheria za nchi hiyo. Lengo la sheria hiyo ni kufanya familia nchini humo kuishi kwa upendo na maelewano.
Samoa ni miongoni mwa...
```Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.```
_Unapoamka katikati ya usiku...
Pamoja na watu kutozwa kodi lakini hali ipo hivi katika machinjio ya Mji wa Shelui huko Iramba Magharibi.Je viongozi hawaoni kuwa hili ni tatizo?Maana na wao wanashiriki kula nyama.Sijui Mbunge wa...
Kuna watumishi wenye stress, wapo. Kuna waliochoka kuisoma namba, wapo.
Kama uhakiki umeisha, basi waongezee hata buku ili waongeze ufanisi na molari kazini.
Hao hewa sheria ichukuwe mkondo...
MAWAZO YANGU KUHUSU BONGO MOVIE
habari wapendwa, napenda kuchangia kuhusu sekta ya filamu Tanzania, kwanza niwapongeze serikali,wasanii, na wadau Kwa kukuza sanaa yetu. Mapendekezo yangu ili...
Imetokea ajali maeneo ya Mikumi. Basi la HOOD limepinduka saa tano usiku wa kuamkia leo likitoka Arusha kwenda Mbeya.
Aliyenipa taarifa alikuwepo kwenye gari na ameumia mguu ila yupo salama...
Kwa kumbukumbu za haraka tokea 2002 ITV walishaanza kurusha habari za E.Afrika na baadae baadhi ya TV zingine kufuatia.
Huwa najiuliza ni kwanini sie tuko hivi, wakati tuko busy kuuza habari za...
Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) imefanya uchambuzi wa awali wa matokeo ya utafiti uliofanywa mwaka 2014/15 na wataalamu kutoka Michigan State University Marekani wakishirikiana na SUA kuhusu...
Tapeli anatuma huu ujumbe;
"Bw Jolam nashukuru kwa kunishukuru nilivyokusaidia umepata utajiri umefunguwa maduka ya jumla na umenunuwa daladala hongera kwa kufuata masharti badirisha hizo dawa...
Huduma za Meli za Mizigo katika Bandari ya Kyela kuanza katika Ziwa Nyasa hivi karibuni. Kwa Maelezo zaidi Tafadhali wasiliana na ofisi za TPA kwa namba za simu +255 (692) 114498 na (715) 212618...
Hongera mrembo kwa kazi nzuri ya uendeshaji wa kipindi che television cha "Mimi na Tanzania" kinachorushwa na channel ten, kwani kinatoa mchango mkubwa wa kuwajua wenye matatizo makubwa ya kiafya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.