Msaada: Sijisikii raha kuwa kwenye mikusanyiko na kupiga soga

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,301
Amani kwenu ndugu zangu,

Kuna hii tabia inanikwaza sana ingawa sina jinsi ya kuiacha. Huwa sijisikii raha hata kidogo kuwa kwenye mikusanyiko na kupiga soga, hii imenifanya kuwa na marafiki wachache sana. Kwangu siyo ishu lakini inawapa shida wengine na kuona kama ninajisikia flani hivi. Nifanyeje? Ukizingatia mitaa yetu ya kiswazi, japo huwa nasalimia lakini huwa sipigi stori.
 
Back
Top Bottom