Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Tunaamini kwamba siku moja tutapaa kwenda mbinguni huku dunia ikisafishwa na wenye dhambi kuondolewa milele. Baada ya dunia kusafishwa mbingu mpya itashuka na ndio makao ya milele kwa wale ambao watafanikiwa kufika nikiwa miongoni mwao. Naamini kuwa tukifika kule tutapata nafasi ya kumuuliza Mungu mwaswali mengiiiii ambayo yanatutatiza kwa macho ya kibinadamu hatuyafahamu na tutaoneshwa uhalisia wa matukio mbalimbali.
Aiseee mbinguni si kwa kukosa kabisa kwa sababu mimi kuna maswali mengiiii yananitatiza halafu majibu hakuna na mengine yanahitaji usomaji wa mawazo ya mwanadamu ambayo ni vigumu kuyafahamu kwa 100%.
Nikiwa kule miongoni mwa maswali ambayo ntamuuliza muumba na muweza wa yote ni,
Ila ntakuwa na maswali mengi sana nadhani tutakaa mwezi mzima bado nitakuwa namuuliza Mungu juu ya mambo mengi yenye utata. Kwa hapa sitaki kuyamaliza yote wacha nisubiri nikiwa kule.
Je wewe ungemuuliza Mungu maswali yapi? Niambie hapa ili niyaweke kwenye kumbukumbu yawezekana usifike kule ila mimi nitakuwakilisha vyema na maswali yako.
Mtu mweupe (Mzungu-nje ya bara la Africa)
Mtu mweusi (Ndani ya bara la Africa-ukiondoa nchi za kiarabu)

- Kwa nini watu weusi tumekuwa wapili wa pili tu kwa kila kitu?
- Kwa nini mambo mengi na vitu vingi hugunduliwa na mtu mweupe au hufanywa na mtu mweupe then mweusi kazi yake ni matengenezo?
- Hivi ni kwa nini mtu mweusi ana akili ndogo ya kufikiria na kufanya maamuzi sahihi? Ni kwa nini mtu mweusi yuko nyuma sana kimaendeleo kuliko mtu mweupe?
- Je ni nini cha ziada alichoongezewa mtu mweupe hadi kumfanya mtu mweusi mtumwa?
- Kwa nini mtu mweupe kafanya mambo mengi kama kuunda gari, kugundua mashine mbalimbali za kurahisisha kazi, kuandika vitabu vingi ambavyo vinatumika kumdanganya mtu mweusi, na kufanya vitu vingi sana ambapo mtu mweusi kazi yake ni kutumia tu japo kimoja tu alichogundua ambacho mtu mweupe anajiuliza hadi leo na hapati jibu ni kuruka angani kwa kutumia vifaa e.g. ungo, ufagio, koleo n.k!!