Waijuao Tanga kiundani

chaggaa15

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
567
468
Wadau,

Weekend hii nitakuwa Tanga ombi langu kwenu ni beach hotel gani naweza kupumzika yenye gharama rafiki kidogo.

Naomba kuwasilisha
 
Kwa bahati mbaya kwa jiografia ya Tanga ilivyo usitegeemee kuona hotel yenye beach za maana ..labda pangani...karibu sana Mkuu... kuhusu bei ungetaja kwanza bajeti yako..then tuanzie hapo ..
Pangani patakuwa mbali mkuu... kuhusu bei sina fixed budget ila ningepata yenye unafuu ingekuwa bora zaidi! Awamu ya tano sio mchezo mkuu
 
Swimming pool-Mkonge hotel patakufaa zaidi kuliko Tanga Beach hotel kweni swimming yao ni ya watoto na wadada wanaouza sura ila ya Mkonge hotel ni kwa ajili ya kuogelea na kureflesh.

Pia waweza ingia beach ya Waswahili ambayo inanoga zaidi ama ya wahindi,bei haizidi buku 3000.

Kama self ride ipo na muda wa kutosha basi vuka Pangani.

Club Tanga city lounge,Live Band Nyumbani Hotel au hata Tanga Beach hotel. Wadada wauza chini pia wengi tanga,japo wenyeji tumetulia tu.

Laki moja inatosha kulala hotel nzuri,kula na kunywa,hata blanket chapa mtu pia unapata!!
 
Kipumbwi umemaliza... blanketi chapa mtu hahaha! Nashkuru mkuu
 
TE="chaggaa15, post: 20808307, member: 342751"]Kipumbwi umemaliza... blanketi chapa mtu hahaha! Nashkuru mkuu[/QUOTE]
Karibu Mkuu.
 
Swimming pool-Mkonge hotel patakufaa zaidi kuliko Tanga Beach hotel kweni swimming yao ni ya watoto na wadada wanaouza sura ila ya Mkonge hotel ni kwa ajili ya kuogelea na kureflesh.

Pia waweza ingia beach ya Waswahili ambayo inanoga zaidi ama ya wahindi,bei haizidi buku 3000.

Kama self ride ipo na muda wa kutosha basi vuka Pangani.

Club Tanga city lounge,Live Band Nyumbani Hotel au hata Tanga Beach hotel. Wadada wauza chini pia wengi tanga,japo wenyeji tumetulia tu.

Laki moja inatosha kulala hotel nzuri,kula na kunywa,hata blanket chapa mtu pia unapata!!

Ngoja na Mimi nijipange kwenda kundembelea Tanga- Kumbe kwa Laki napata kila kitu???? Hii ni habari njema.........
 
Back
Top Bottom