Toa neno kwa vituo vya kuuzia chakula uwapo safarini ...ghalama na ubora wa chakula,usafi wa vyoo .

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
431
310
Mimi ni ghalama kubwa sana...alafu ubora wa chakula hakuna,vyoo vichafu sana..sasa sijui uwa ni dili ya dereva kupeleka abiria pale...au mmiliki wa gari ana asilimia yake...
 
Njia ya kati ya kijinga kabisa, Sehemu za kula na kujisaidia ni upuuzi mtupu. Wenzetu Kaskazi kwa hilo wametuzidi hasa kuanzia Segera mpaka kuikamata Mombo kuna hoteli migahawa mizuri. Liverfool imefulia kama Liverfool wenyewe.
 
Back
Top Bottom