Kwa madereva wote

Zogoo da khama

JF-Expert Member
May 20, 2013
623
582
IMG-20170426-WA0001.jpeg

Kwa madereva wenzangu huku barabarani hawa wenzetu baada ya kuona mbinu zao za tumeanza kuzizoea wamebuni mbinu mpya nayo ni kupanda juu ya miti na kamera zao. Zingatieni sheria muwapo barabarani.
 
Sasa na kibao cha spidi kakishusha hawaoni kuwa ni uharibifu wa miundo mbinu ya barabara? Hizi njama mbaya sana
 
Khaaa too much sasa

Mara puuuh kaanguka kategua kiuno atamlaumu nano?????

Au akidungwa na nyoka huko juu atamlilia nani????

Dah
 
Ndio mbinu walizofundishwa na ccm kuitafutia hela ya chaguzi
zijazo,ngoja mmoja avunje mgongo na kupasua figo kwa kudondoka mtini,ndo watatia akili kua ccm inawatumia vibaya !
 
Kwa madereva wenye magari yasio kuwa ya abiria haimati sana kama unajua ku bargain vizuri japo bei kwa sasa imepanda sana sana wanataka mwekundu.
 
Back
Top Bottom