Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,912
- 13,230
japo ni kama wiki kadhaa zimepita, ila kwa wale ambao hamkubahatika kuiona hii hapa
Mama Daudi upo vizuri.So!!!?
Unataka wafanye kazi bila kulipa kodi?
Ni kuzomewa au kuonyesha hawakubaliani na ukweli wanaopewa..haizimi kitu kama kuondoa sheria wala kumuachisha kazi, muhimu wafate sheria.
Makonda oyeeeeee
Mama Daudi upo vizuri.
Ujinga ni mzigo mzito sana. Yaani wewe ndio wa kunifundisha mimi maana ya neno KUZOMEA?So!!!?
Unataka wafanye kazi bila kulipa kodi?
Ni kuzomewa au kuonyesha hawakubaliani na ukweli wanaopewa..haizimi kitu kama kuondoa sheria wala kumuachisha kazi, muhimu wafate sheria.
Makonda oyeeeeee
Ujinga ni mzigo mzito sana. Yaani wewe ndio wa kunifundisha mimi maana ya neno KUZOMEA?
Sasa hivi wauza pweza kwenye sinia watadaiwa kodi...!
Kada ktk ubora wakoSo!!!?
Unataka wafanye kazi bila kulipa kodi?
Ni kuzomewa au kuonyesha hawakubaliani na ukweli wanaopewa..haizimi kitu kama kuondoa sheria wala kumuachisha kazi, muhimu wafate sheria.
Makonda oyeeeeee
WeweNi nani huyo mama uliyemtaja!?
So!!!?
Unataka wafanye kazi bila kulipa kodi?
Ni kuzomewa au kuonyesha hawakubaliani na ukweli wanaopewa..haizimi kitu kama kuondoa sheria wala kumuachisha kazi, muhimu wafate sheria.
Makonda oyeeeeee
Mimi nafuata utawala wa sheria, sina cheti cha mtuSasa nani mjinga kama sio u, unadakia kitu huku huelewi hata kilichoandikwa eeeeeeh makubwa haya... inaelekea namba bado unaisoma haswaaaaaa
@paulmakonda - Biashara ya santuri feki za sinema ni biashara haramu kama ilivyo biashara haramu zingenezo. Ziwe sinema za nje au za ndani. Na kama zilivyo biashara nyingine nyingi haramu kama vile madawa ya kulevya, ukahaba etc, suala la kutoa ajira kwa vijana wengi haliwezi kuhalalisha uharamu wake. Kupiga marufuku biashara hiyo haramu sio tu kunalinda haki na maslahi ya wasanii wa ndani na nje lakini pia kunawezesha ujenzi wa taifa lenye kuamini katika utawala wa Sheria!. Tukutane JAMBO TANZANIA TBC(imepita)
Mimi nafuata utawala wa sheria, sina cheti cha mtu
Utanielewa na vyeti ni vya mtu?Sijakuelewa na ninapita.