Kuna watumishi wenye stress, wapo. Kuna waliochoka kuisoma namba, wapo.
Kama uhakiki umeisha, basi waongezee hata buku ili waongeze ufanisi na molari kazini.
Hao hewa sheria ichukuwe mkondo wake, lakini halali wapewe haki yao.
Pia kumbuka kufungua kufuli la uhamisho wa Tamisemi na idara zingine. Tangu TAMISEMI uiweke kwapani uhamisho umekuwa mgumu, watoto na ndugu zetu ndoa zao zinapumulia mashini.