Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Pamoja na watu kutozwa kodi lakini hali ipo hivi katika machinjio ya Mji wa Shelui huko Iramba Magharibi.Je viongozi hawaoni kuwa hili ni tatizo?Maana na wao wanashiriki kula nyama.Sijui Mbunge wa eneo hili yupo wapi?