Nchini Samoa, ni kosa kisheria kwa mwanaume kusahau birthday ya mke wake

BigBaba

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,908
9,040
Mwanaume atakayesahau siku hiyo atapewa adhabu kali kwa mujibu wa sheria za nchi hiyo. Lengo la sheria hiyo ni kufanya familia nchini humo kuishi kwa upendo na maelewano.
Samoa ni miongoni mwa nchi zenye idadi ndogo ya wakaazi ambapo kwasasa kuna watu takribani 194,000. Huku nchi ya Vatican ikiongoza kuwa na wakazi wachache zaidi duniani ikiwa na wakazi 451 ikifuatiwa na nchi ya Tuvalu yenye wakazi 10,055.
c507976a496831d3fac585c4e38f64e3.jpg
 
Duuuh kama hiyo sheria ililetwa hapa kwetu na hizi stress za maisha tutafungwa wengi
 
Nchini Tanzania ni kosa la Jinai kukuta mwanamme aliyeoa ambaye hajawai kuwa na mpango kando (mchepuko).
 
Back
Top Bottom