Jinsi ya kuamka Usiku

Feb 13, 2014
6
15
```Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.```

_Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu kuamka ghafla kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu._

*USHAURI:*
*Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-*

*1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.*

*2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.*

*3. Shusha miguu, kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.*

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi, hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.

```Shirikisha marafiki na jamaa.```

*```Hii inatokea bila kujali umri.```*

Kushare ni kujali. Kama tayari ulikuwa unajua hii ichukulie kama kumbukumbu.
dd6e341238bb661d33f55652e1063266.jpg
 
Kama haya unayosema ni ya kweli basi nadhani Mimi zamani sana ningeshakuwa mavumbini kwani huwa naamika mno usiku tena bila formula yoyote ile naenda Chooni na sijadhurika na lolote au chochote kile hadi leo hii. Kama unataka kutangaza Biashara yako ya Utabibu au Uganga sawa Mkuu ila kuhusu hilo la kuamka usiku nitakukatalia hadi Kiama kije.
 
Sisi wa mbagala unafanya kazi Mwenge. Ukiamka breki ya kwanza bafuni. Breki ya pili.kugombea daladala
 
Basi mimi nishakufa siku nyiiingi. Hapa niko motoni/peponi

Kumbe hadi huku kuna JF??
 
Mimi binafsi ikitokea nimejipumzisha mchana na nikaamka ghafla kwenda chooni kukojoa, nikiwa katikati ya biashara yangu huwa nahisi kukosa nguvu kiasi kwamba nadondoka,hapo nalazimika kutoka haraka na kutafuta sehemu nikae.
 
Mleta mada huwezi kueleweka au kukubalika ila upo sahihi kabisa,tatizo jf tumekua tunasapoti mambo ya udaku zaidi kuliko vitu vya maana,

siku hizi kuna kitabia hapa jf,mchangiaji wa kwanza kabisa kwenye thd akiiponda thd basi wanaofuatia wote huunga tela nao kuiponda thd bila hata kua na idea yeyote kua hiyo issue ni kweli au sio?
 
Kuna ukweli.unaweza ukaamka ukaona kizunguzungu.na kuyumba yumba.labda sababu ni hyo
Ni kweli coz blood circulation inakua haikua normal,so mleta mada ameshauri vizuri sana,mtu anasema "Mbona sijafa au sijawahi kudhurika na hua naamka kwa kukurupuka?" Kwahiyo unasubiri mpaka udhurike ndio uchukue tahadhari??!!
 
Kama unaamka na unahisi kizunguzungu tatizo sio kufuata kanuni iliyoanishwa hapo bali inaweza kuwa upungufu wa damu.
 
Wale wasiolala vitandani mfano wanalala chini hiyo miguu waiweke wapi mkuu??
 
Duu! baada ya hayo, ukifika mlango wa chooni kuna mguu wa kutanguliza! mbona mi sifanyagi hayo! Wengine hudai paka huwa wanaondokaga na roho zetu, ivo lazwa uamke kwa step ku-buy time ya roho kurudishwa.
 
Unazungumzia watu wenye upungufu wa Damu au?? Kama damu inazalishwa na inasambazwa sawia sehemu zote za mwili, iweje ubongo ukose damu(iwe pungufu)??
 
```Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.```

_Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu kuamka ghafla kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu._

*USHAURI:*
*Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-*

*1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.*

*2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.*

*3. Shusha miguu, kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.*

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi, hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.

```Shirikisha marafiki na jamaa.```

*```Hii inatokea bila kujali umri.```*

Kushare ni kujali. Kama tayari ulikuwa unajua hii ichukulie kama kumbukumbu.
dd6e341238bb661d33f55652e1063266.jpg

Iyo picha ni bangi ama!?
 
Back
Top Bottom