GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
"Huyu dada mke nilimfahamu kupitia rafiki yake chuoni. Nilipomwona nilishtuka sana 'she is pretty' na ni classic siyo wa njaa. Actually miaka yote sikuwa napenda kudate wasichana wenye njaa ,wasichana wa mizinga. Ukichukulia raha tunapata wote then mtu anataka sasa ndo ulipie huduma na wakati huo wote mnapokea boom chuo.
Basi nikamweka sawa tukaanza kutoka namnunulia chakula na vinywaji na kila kitu ila simhongi ikafikia hatua nikaona ameshazoea na sometime naye anatoa pesa yake kwenda hotel tukafurahie maisha. Nikaishia kumuoa.
Nlipomuoa nikabadilika nikawa sasa nampa pesa n.k na hapo si kuhonga ni kumzawadia.
Kazini jamaa yangu mmoja alianza kazi kabla yangu. Yeye salary yake ipo juu sana, mademu wanampenda sana, anajua kuhonga alifanikiwa kununua gari tu ili imrahishie kwenye misele ukienda kwake utashangaa, pamechoka sana. Pesa anapeleka kwa madem jamaa anahonga ile mbaya na ukimwangalia kiukweli hana mvuto nadhani ndo sababu kubwa pia ya kutumia kigezo hicho.
Jamaa ikifika tarehe 20 tu hana pesa.
Ameshahonga ila kwa jamaa wenzie hataki kabisa kusaidia. Mbaya mademu anao wahonga nao sometme wanahonga wandani wao wa moyoni ila anasema yeye ndo kidume anajua kuhudumia sisi wengine wanaume suruali tu.
Nashukuru sana kwa kuwa bahili kwa mademu maisha yangu yanaenda vizuri mke wangu na watoto wetu wawili hawakosi mahitaji.
Wanaume acheni kuhonga. Waachieni wavulana kuhonga."