mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
Habari wadau nataka kujua wanaoajili vodacom customer care, nilisikia siku hiz voda hawana mkataba na erolink
Sio kweli bado wanamkataba kuna jamaa yangu alikua kwenye interview yao leo ya vodacom customer careHabari wadau nataka kujua wanaoajili vodacom customer care, nilisikia siku hiz voda hawana mkataba na erolink
Hizo interview zao ni kila baada ya mda gani?Sio kweli bado wanamkataba kuna jamaa yangu alikua kwenye interview yao leo ya vodacom customer care
Cjajua coz alipeleka CV kitambo toka mwezi wa kwanza j3 tar 24/04 ndo akapiga interviewHizo interview zao ni kila baada ya mda gani?
Cjajua coz alipeleka CV kitambo toka mwezi wa kwanza j3 tar 24/04 ndo akapiga interview