Watanzania hatuwaelewi vyema wenzetu.

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Kwa kumbukumbu za haraka tokea 2002 ITV walishaanza kurusha habari za E.Afrika na baadae baadhi ya TV zingine kufuatia.
Huwa najiuliza ni kwanini sie tuko hivi, wakati tuko busy kuuza habari za wenzetu, wakati wao wala. Natizama sana TV za nje ndani ya A.mashariki lakini sioni popote habari zetu zikitangazwa hhata ziwe nzuri vipi. Hivi tunafikiri wenzetu wanafanya haya kwa bahati mbaya? Kwamba wao hawana maripota huku bongo?

Hivi ni kweli hawa majirani zetu hasa Kenya tuko nao sawa kimitizamo? Si kwamba vya kwetu ni taka macho ni pao?
Tujifunze kufanya ya kwetu, ya wenzetu ni ya kwao tu.
 
bora wewe habari mimi hata hiyo EAC naiona ni mizinguo tu.

ila wenzetu kwenye mambo mengine wanajitahidi mfano vyo vyao wana ada ya EA students na ada ya foreigners wengine, ila bongo ukitoka Kenya tu unalipa ada ya foreigner kama mu Italy vile vile. so kila mtu ana weza sema mwenzie hajali
 
Back
Top Bottom