peter chula
Senior Member
- Jun 8, 2013
- 123
- 68
MAWAZO YANGU KUHUSU BONGO MOVIE
habari wapendwa, napenda kuchangia kuhusu sekta ya filamu Tanzania, kwanza niwapongeze serikali,wasanii, na wadau Kwa kukuza sanaa yetu. Mapendekezo yangu ili kuboresha sanaa yetu
1.wasanii pendeni tamaduni zetu msiige kila kitu kwenye movie za nje mkitumia tamaduni zetu mtajitangaza kimataifa na kutambulika kwa utamaduni wenu na kwa kufanya hivyo mtaauza sana mfano mzuri wa nchi zinazouza kimataifa ni zile zinazoenzi tamaduni zao ambazo zinawafanya wawe special mfano move za kikorea,China,Japan I,Nigeria nk.
*kasoro* mnavaa NGUO fupi ambazo si utamaduni wetu, mnaigiza maisha ya nchi za nje wakati si maisha yetu,mnaonesha tamaduni za kigeni na kuacha tamaduni zenu ndo *maana hamuuzi ndani*
Mfano mzuri kwa movie zilizochukua uhalisia na kupendwa na watanzania wengi *siri ya mtungi*no
2.Fanyeni movie kama kazi mjitahidi kutumia kamera bora za kisasa na wanao edit wawe wamesomea kabisa. Pia kwa hili mnaweza kufanya ziara kwa wenzenu ili kujifunza mbinu mbalimbali zitakazowafanya mzalishe movie bora zaidi MTU mmoja asipangiwe kazi zaidi ya moja hii itaongeza ufanisi wa kazi.
3. Kitu bora kina gharama msitengeneze movie za gharama nafuu huku mkitegemea mtauza sana hapo mtakuwa mnajidanganya sana kwa kipindi hiki cha maendeleo ya teknologia wekeni bajeti ya kutosha
4.Muda kwenu pia nitatizo munatumia muda mchache sana kutengeneza movie wekeni muda wa kutosha ili kupata kitu bora na kupunguza uongo kwenye movie.
5. Story zipo nyingi msibezi kwenye story moja mnachosha watazamaji angalie mahitaji ya watazamaji. Angalieni matatizo na mafanikio ya nchi yetu kutengeneza story kama vile.kuhamasisha kufanya kazi, elimu, biashara,ukame, utarii,utawala,Usalama,historia ya nchi yetu,tamaduni za makabila yetu nk pia mnaweza kuwatumia watunzi wa tamthilia na maigizo na waandishi wa vitabu mfano shigongo, Masudi nk
6.kufanya/kuonyesha mapenzi sio kitu kizuri kwenye movie zetu za kitanzania kuonyesha kuwa watu wapo kwenye mahusiano sio lazima wasanii mnyonyane mate,mkumbatiane,msex, kuna movie za kikorea episode zaidi ya 20 hawafanyi hivyo lakini watazamaji tunaona kabisa wasanii Fulani kwenye movie wapo kwenye mahusiano *mjitathimini na muenzi tamaduni zetu mtauza sana*
*Kwa kumalizia serikali inatakiwa kuwaruhusu wasanii kutumia baadhi ya vifaa ili kukidhi mahitaji ya watazamaji pia kuwapa saport katika kazi zao ikiwa ikifahamu kuwa kufanya hivyo ni kuitangaza nchi yetu kimataifa*Mungu ibariki Tanzania,wasanii na watanzania tujipende,tujikubari na tumshukuru Mungu kwa kuzaliwa TANZANIA NCHI YETU NZURI.by Peter Chula