Kusema ukweli, hadi leo sijui ni kivipi Ndege inapaa wakati mimi nikinyoosha mikono na kujaribu...

Riziki Mohammed

Senior Member
Mar 4, 2017
118
205
Hebu wanasayansi nifafanulieni mtoto wenu wa Tanzania...sio kwamba ni mshamba....but mwanzoni niliamini Ndege hupaa kwasababu ya Propeller, either ile ya mabawa au ile ya Panga k.v. Hellcopter...iweje mm nikijaribu siwezi?? Nimeshawahi hadi kujivisha Puppets za propeller na kukimbia umbali mrefu ili nigain energy but nothing happens.

Iweje Hellcopter ipae ingali ipo eneo hilohilo just bcoz imezungusha pangaboy, na mm siwezi wakati na mm nimezungusha mikono...iweje Bombardier (thank you Magufuli, I love you) wakatI mm hata nikikimbia hadi kukanyaga nyanya sokoni bado sipai????????????

GREAT THINKERS ONLY.
 
Unataka kupaaa, si ndiyo? Fanya yafuatayo.....chukua kitenge cha Mama yako, mkeo, girl friend, au hata shuka kisha nenda pale PPF Towel au lile jumba la bandari ile gorofa ya juu kabisa. Vua nguo zote ubaki uchi tu, kisha chukua kitenge jifunge shingoni na mabegani then jiachie huku ukifungua mikono, utaona unapaa tu tena bila wasiwasi. Kama una nia na safari ya masafa marefu inabidi uwe na ramani yako na ujuwe kuisoma. Pichani ni mimi wiki iliyopita nikiwa naenda Ulaya kuangalia mechi ya Real Madrid na Bayern.
g_wingsuit_3.jpg
 
View attachment 501548
Nimecheka khaa
 
Hakuna aliye jibu hata mmoja zaid ya porojo , dah wacha nijaribu basi

Tukianza na helicopter hii hutegemea zile panga zinazo zungushwa na engine ambazo zenyewe kwa vile zilivyo tengenezwa zina kusanya hewa ilipo juu ya hecopter na kuishusha chini kwa nguvu sana na hewa ile itatengeneza force itakayo iinua helcopter kwenda juu na mfumo huo huo ndio utatumika kuipeleka mbele kupitia panga hizo hizo kuvuta hewa iliyo mbele kuirudisha nyuma na hewa inayo vutwa kuipush ni lazima izidi uzito wa helicopter na vilivyomo ndani yake ili iweze kunyanyuka na hivyo ndivyo ilivyo hata kwa ndege hizi jet na panga boy

Hewa inayo vutwa na jet engine zote ina takiwa izid uzito wa ndege na vilivyomo ndani ili iweze kupaa kinyume na hapo haita paa , na ndi maana ndege haiweze kupaa kama helicopter sababu ndege huvuta hewa iliyopo mbele kwa vile haina panga la juu kuifanya ipae hapo hapo , ndio ,aana ina enda run way kugain momentum ya kupaa sio kama helicopter ambayo inapaa hapo hapo kwa msaada wa panga za juu

Ila kinacho sababisha ndege ipae tofauti na helicopter ni wings zake mabawa maana muundo wake ulivyo undwa yanagawa hewa nyingine ina enda juu na nyingine chini kutokana na ushindani huo wakati huo jet engine au panga boy zikivuta hewa ya mbele irud nyuma huku ndege ikienda mbele kadri hewa inavyo zid kuvutwa kurudi nyuma hivyo inavyo songa mbele ndivyo mabawa yanapo set lifting up kutokana na umbo lake lilivyo

control ya ndege ipo kwenye mabawa yake na ndio maana hata matair ya ndege haya zunguki kuivuta ndege bali ndege ndio huvuta matai kutokana na nguvu inayo zalishwa na engine zinazo ifanya ijongee mbele

Ndivyo nijuavyo ingawa nimejaribu kieleza kwa kifupi maana maelezo ni marefu kidogo maana kuna swala la kona hapo kutua nk naomba niishie hapa wataalam wengine wanikosoe na kuongeza zaid
 
Fluid mechanics form 5 physics.
Kitu kama pangaboy inaruhusu upepo kupita kwa speed tofauti upande wa juu na chini ambayo inaleta pressure difference inapelekea upward thrust to the lower pressure side....
 
Unataka kupaaa, si ndiyo? Fanya yafuatayo.....chukua kitenge cha Mama yako, mkeo, girl friend, au hata shuka kisha nenda pale PPF Towel au lile jumba la bandari ile gorofa ya juu kabisa. Vua nguo zote ubaki uchi tu, kisha chukua kitenge jifunge shingoni na mabegani then jiachie huku ukifungua mikono, utaona unapaa tu tena bila wasiwasi. Kama una nia na safari ya masafa marefu inabidi uwe na ramani yako na ujuwe kuisoma. Pichani ni mimi wiki iliyopita nikiwa naenda Ulaya kuangalia mechi ya Real Madrid na Bayern.
View attachment 501548

Kwahyo kwa akili yako hiyo picha hapo juu ni kitenge sio?? Mkuu ujue niko serious halafu unaleta masihala....ntakuharibia mood aisee
 
Mbona ndege huwa haziendi ghorofa la PPF kupaa??
 
Iweje Hellcopter ipae ingali ipo eneo hilohilo just bcoz imezungusha pangaboy, na mm siwezi wakati na mm nimezungusha mikono...iweje Bombardier (thank you Magufuli, I love you) wakatI mm hata nikikimbia hadi kukanyaga nyanya sokoni bado sipai????????????

GREAT THINKERS ONLY.
Umewezaje kuzungusha mikono kwa nguvu sawa na pangaboi za copter?.
Umewezaje kimbia kwa kasi sawa na Bomardier?.
 
Kwahyo kwa akili yako hiyo picha hapo juu ni kitenge sio?? Mkuu ujue niko serious halafu unaleta masihala....ntakuharibia mood aisee

Hiyo ni shuka na inavaliwa na watu waliozoea kupaaaa. Nimekuambia wewe uchukue kitenge ama shuka kwa sababu hauna mazoea ya kupaa. Je, hili nalo ni kosa, wewe si ulitaka msaada au?
 
Unataka kupaaa, si ndiyo? Fanya yafuatayo.....chukua kitenge cha Mama yako, mkeo, girl friend, au hata shuka kisha nenda pale PPF Towel au lile jumba la bandari ile gorofa ya juu kabisa. Vua nguo zote ubaki uchi tu, kisha chukua kitenge jifunge shingoni na mabegani then jiachie huku ukifungua mikono, utaona unapaa tu tena bila wasiwasi. Kama una nia na safari ya masafa marefu inabidi uwe na ramani yako na ujuwe kuisoma. Pichani ni mimi wiki iliyopita nikiwa naenda Ulaya kuangalia mechi ya Real Madrid na Bayern.
View attachment 501548
kiboko ya mabishooo...
 
Hakuna aliye jibu hata mmoja zaid ya porojo , dah wacha nijaribu basi

Tukianza na helicopter hii hutegemea zile panga zinazo zungushwa na engine ambazo zenyewe kwa vile zilivyo tengenezwa zina kusanya hewa ilipo juu ya hecopter na kuishusha chini kwa nguvu sana na hewa ile itatengeneza force itakayo iinua helcopter kwenda juu na mfumo huo huo ndio utatumika kuipeleka mbele kupitia panga hizo hizo kuvuta hewa iliyo mbele kuirudisha nyuma na hewa inayo vutwa kuipush ni lazima izidi uzito wa helicopter na vilivyomo ndani yake ili iweze kunyanyuka na hivyo ndivyo ilivyo hata kwa ndege hizi jet na panga boy

Hewa inayo vutwa na jet engine zote ina takiwa izid uzito wa ndege na vilivyomo ndani ili iweze kupaa kinyume na hapo haita paa , na ndi maana ndege haiweze kupaa kama helicopter sababu ndege huvuta hewa iliyopo mbele kwa vile haina panga la juu kuifanya ipae hapo hapo , ndio ,aana ina enda run way kugain momentum ya kupaa sio kama helicopter ambayo inapaa hapo hapo kwa msaada wa panga za juu

Ila kinacho sababisha ndege ipae tofauti na helicopter ni wings zake mabawa maana muundo wake ulivyo undwa yanagawa hewa nyingine ina enda juu na nyingine chini kutokana na ushindani huo wakati huo jet engine au panga boy zikivuta hewa ya mbele irud nyuma huku ndege ikienda mbele kadri hewa inavyo zid kuvutwa kurudi nyuma hivyo inavyo songa mbele ndivyo mabawa yanapo set lifting up kutokana na umbo lake lilivyo

control ya ndege ipo kwenye mabawa yake na ndio maana hata matair ya ndege haya zunguki kuivuta ndege bali ndege ndio huvuta matai kutokana na nguvu inayo zalishwa na engine zinazo ifanya ijongee mbele

Ndivyo nijuavyo ingawa nimejaribu kieleza kwa kifupi maana maelezo ni marefu kidogo maana kuna swala la kona hapo kutua nk naomba niishie hapa wataalam wengine wanikosoe na kuongeza zaid
 
Unataka kupaaa, si ndiyo? Fanya yafuatayo.....chukua kitenge cha Mama yako, mkeo, girl friend, au hata shuka kisha nenda pale PPF Towel au lile jumba la bandari ile gorofa ya juu kabisa. Vua nguo zote ubaki uchi tu, kisha chukua kitenge jifunge shingoni na mabegani then jiachie huku ukifungua mikono, utaona unapaa tu tena bila wasiwasi. Kama una nia na safari ya masafa marefu inabidi uwe na ramani yako na ujuwe kuisoma. Pichani ni mimi wiki iliyopita nikiwa naenda Ulaya kuangalia mechi ya Real Madrid na Bayern.
View attachment 501548
Kama mim sikuuliz tena sio kwa jibu hilo
 
Kuna kitu kinaitwa Force of gravity...hii n force ambayo ina maintain kila kitu kwenye dunia kiweze kua katika stable state kwa kuvuta kila kitu toward the center of earth.Physical FORCE OF GRAVITY ambayo ina vuta kila kitu toward earth center n sawasawa na Weight ya kitu chenyewe hivyo bhasi hata huruke kiasi gani juu kumbuka weight yako ndo force of gravity yako hivuo utarudi tu chini......Bt NDEGE zimetengenezwa Mechanical zenyewe ni less weighted kutokana na material yaliyotengeneza kua na uzito mdogo kabsa lkn pia ndege ina uwezo wa ku resist direction ya upepo pia kwa sababu ya kua ni less weigted ina kua na less gravitational force hvyo bhasi ina uwezo wa kupaa bila kushushwa chini kwa kani yamvutano.HOPE somehow you gain concerpt!
 
Hivi wachawi hawawezi kutoa msaada kwa watu wa kawaida ikiwa wanahitaji hii huduma adhimu ya kupaa..!?
 
Hebu wanasayansi nifafanulieni mtoto wenu wa Tanzania...sio kwamba ni mshamba....but mwanzoni niliamini Ndege hupaa kwasababu ya Propeller, either ile ya mabawa au ile ya Panga k.v. Hellcopter...iweje mm nikijaribu siwezi?? Nimeshawahi hadi kujivisha Puppets za propeller na kukimbia umbali mrefu ili nigain energy but nothing happens.

Iweje Hellcopter ipae ingali ipo eneo hilohilo just bcoz imezungusha pangaboy, na mm siwezi wakati na mm nimezungusha mikono...iweje Bombardier (thank you Magufuli, I love you) wakatI mm hata nikikimbia hadi kukanyaga nyanya sokoni bado sipai????????????

GREAT THINKERS ONLY.

Onana na wataalam wa ungo wa kupaa wa asili.
 
Back
Top Bottom