Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,036
- 22,714
Lipo hili bandiko au thread lenye kichwa cha habari"Tanzanian farmers are racing heavy prison sentences if they continue their traditional seed exchange."Hili bandiko ni muhimu sana hasa kwa wakulima na wadau mbalimbali wa maswala ya Kilimo.Naweza kusema ni backbone ya wakulima.Nilitegemea kwamba kitufe cha "replies" kiwepo ili wadau waweze kuchangia mawazo yao na kwa njia hiyo serikali na wadau wengine wa kilimo wapate maoni ya wananchi. Kilichotokea ni kitu cha ajabu kabisa, wana JF tumenyimwa haki yetu ya msingi ya kutoa mawazo yetu kuhusu swala hill muhimu kwa kutoweka kitufe cha "replies"! Najiuliza, kwa nini sasa hili bandiko lipo, si lingeondolewa tu, kwa kuwa nia moja wapo ya kuwepo kwake ni ili sisi wadau tuweze kutoa maoni yetu. Na kwa nini hicho kitufe hakipo, ni kwa maslahi ya nani? Ni vigumu kujua kinachoendelea nyuma ya pazia. I CAN ONLY SPECULATE KWAMBA LABDA NI KWA SABABU ISSUE HII INAZIHUSU KAMPUNI KUBWA ZA MBEGU NA MHIMILI MMOJA MKUBWA NCHINI, MAHAKAMA! Kwa tukio hili JF polepole inapoteza sehemu ya malengo ya kuanzishwa kwake. Very sad.