Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha,imemwachia huru mwenyekiti wa UVCCM, Lengai Ole Sabaya aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kughushi nyaraka na kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa baada ya upande wa Mashtaka kushindwa kuleta mashahidi mahakamani.