Je, wajua kuhusu Nuclear "Football"?

Je, wajua kuhusu Nuclear "Football"?

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Nuclear "football " Hufungwa na pingu katika mkono au kiuno cha Askari anayeongozana na rais muda wote .
ee238121fdaa33dec06ed82b7abbf3e3.jpg
3e8838226091f3a55257f8bdf8e5874f.jpg
6ed9ca4b9aa8e26639ca97b8d6a9e45e.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hii ni Marekani sjajua kwa nchi zingine

Hio brief case ndio hubeba vitu muhimu sana kwa ajili ya national security n.k

Humo utakuta kijitabu chenye codes na comand mbali za nchi za Silaha nzito hasa za nyuklia
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nuclear "football " Hufungwa na pingu katika mkono au kiuno cha Askari anayeongozana na rais muda wote .
ee238121fdaa33dec06ed82b7abbf3e3.jpg
3e8838226091f3a55257f8bdf8e5874f.jpg
6ed9ca4b9aa8e26639ca97b8d6a9e45e.jpg
Mkuu hebu tuelezee kidogo kuhusu hio nuclear football binafsi sijui chochote kuhusu hio kitu...nakumbuka nilionaga zamanii kwenye sinema mtu kafungwa pingu na begi
 
Sio kila briefcase mtu aliyojiunga na pngu ni footbal.

Wengine hufanya hivyo kulinda vitu vyao thamani tu,

Lakini hii foot ball inakuwa along na Rais , na ina device ya kuitrack itapo kuwepo kwa masuala ya usalama.

Maana ikichukuliwa na mikono mibaya basi ni hatari.
 
Kwani imetengenezwa kwa matumizi ya nini hasa, kumlinda rais au??? Kama sivyo anazurula nayo kwanini??
 
kuna silaha nyingine ili zitumike lazima mkono wa raisi au jicho kake lihusike plus code ambapo kwa ujumla wake vifaa vinavyokuwa ndani ya hili bag ndio hutumika/tumiwa na raisi popote pale alipo.

so anaweza ku initialize...! hata kama yupo Tanzania kwa ziara za kikazi
 
U nailed t
 
I think hii mtoa mada hujaitendea haki bandiko lako!,
Maana hujaelezea iyo nuclear football ni kitu gan!!,nchi ngap inazo au kama zao linalimwa wap!!..ha ha ha ha..maana umewavuluga watu.
Ila kama ambavyo silaha zngine zinaelezea nadhani ungeelezea na hii!!.
 
kuna silaha nyingine ili zitumike lazima mkono wa raisi au jicho kake lihusike plus code ambapo kwa ujumla wake vifaa vinavyokuwa ndani ya hili bag ndio hutumika/tumiwa na raisi popote pale alipo.

so anaweza ku initialize...! hata kama yupo Tanzania kwa ziara za kikazi
Kuhusu finger print au jicho lake ni movies tu mkuu...
Ndo maana hta movies au series mpya mpya wanajarbu kuelezea ukweli...
Ni zaid ya mkono na jcho..
 
Umeuliza swali usaidiwe au umetoa taarifa? Mabashite ni mengi sana, sasa umeandika nini hiki?

Tulia kwanza uandike kitu kinachoeleweka, ueleze hiyo nuclear football ni nini, malengo yake ni nini, hutumika wapi nk, nk.

Una haraka ya nini, au ndio jina lako limesomwa leo chamwino una vyeti feki umepagawa na kuchanganyikiwa?
 
Back
Top Bottom