HATARI: Kununua gari, kiwanja, nyumba, kupangisha kupitia dalali asiye na ofisi na hajasajiliwa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,587
Salam.

Yaan hawa jamaa bhana wanapiga sana pesa mjn. Yaan kila kitu mjn lazima wapite katikati tu.Wanapiga cha juu sana aise. Mbaya zaidi kuna ambao wamesajiliwa wanajulikana kisheria lakn pia kuna wale makanjanja . Tunapigwa sana.


Kwann uuze kwa dalali ambaye hajasajiliwa? Unawapa watu kazi ya kulipa fedha nyingi.

Madalali jisajilini mpige pesa ,siyo kubandika matangazo kwenye nguzo za umeme kama waganga wa jadi.
 
Back
Top Bottom