NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Pamoja na kuwa KATIBA yetu ya JMT(1977) haijafafanua wala kueleza lolote juu ya sifa za kuteuliwa kuwa na ELIMU ya kiasi gani (Ibara ya 61(1)-(5) na 67(1) a-c na (2) a-h), lakini bado katika dunia ya sasa, sifa ya kujua kusoma na kuandika HAITOSHI kabisa kuwa MMOJA wa viongozi wakuu wa Nchi kama Waziri, RC na DC au hata kuchaguliwa kama Mbunge na mwakilishi wa Wananchi.
Mh. Angel Kairuki (W) ni Wakili Msomi na sidhani kama maamuzi na mwogozo wa kuwaondoa wanasiasa walio katika utumishi wa Umma kwenye UTAFITI wake ameridhika au amelinda kibarua chake.
Hapa duniani hakutakuwa na HAKI kamwe, Mnyonge atabaki kuwa Mnyonge tu, Haki zote Mbinguni. Ngoja tuendelee kufichana tu.