Hahaha...unanisekesa bhana wee...aah!Sometimes kugombea gar kuna raha yake jaman, yan ukifanikiwa kuingia wa kwanza halaf unachagua siti upendayo, then unaanza kuwaangalia wanaoendelea kuminyana mlangon, basi unajiona bingwaaa, kumbe huna lolote ni mbwembwe tu, jarbu siku moja na wewe uone raha yake, bt sio kila anaegombea gar ukajua abiria mwenzio wengine wapo kazn, unashangaa chini mmegombea wengi bt kwenye gar hata level seat hamfiki ujue hapo baadhi yenu washalizwa, ila tuliozoea tunastyle zetu za kugombea kuepuka hyo kadhia
kukosa hela ya kununulia usafiri wako...Hali mbaya ya uchumiMh! Shida zenyewe mbona kama....!
Umenikumbusha wakati bado sijachora mstari na raman vizur mjini,nipo bugurun naenda Kimanga tabata,,nipo na wife ana ujauzito wa kaka miez sita na nusu,,jion watu rundo,,sasa kuna haya magar yanayokata ruti linakuja kituon tupu bas tunagombeaaaaa,,,kila nikipiga hesabu sababu ya wife nakosa ujanja,,nikamwambia sogea karib yngu gar ikija hakikisha upo nyuma yangu,,,
Bas imekuja isuzu jorney tupu kabsa,,nikasikia tu kimangaaaaaaa,,we nikatoka nduki kusimama pale mlangoni nikapiga kelele ubongo ubungoooo,twende ubungooo watu wakarudi nyuma mke akaingia nami nikazama ndani,,nikatoa kichwa nikaanza kimangaaaa kimangaaa,watu haoooo dk 0 gar ndiii imejaaa,,dereva akaniangaliaaaa akagonga tano akasema mi mjanja,, bas imenipa credit kwa wife mpka leo...