Sumu iletayo kansa yagundulika katika mbegu za Alizeti(sunflower seeds)

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Katika hali ya kushtusha, gazeti la Guardian on Sunday leo lina kichwa chenye tahadhali "Beware, cancer causing toxin found in sunflower seeds".

Kwa kweli kutokana na kwamba mafuta ya Alizeti yamekuwa yakielezwa na wataalamu kuwa ni mafutwa bora yasiyokuwa na rehemu na hivyo kuwa chaguo la wengi, habari hizi zitakuwa za kukatisha tamaa kabisa.

Imeelezwa kwenye hiyo makala kuwa sumu hiyo aina yaAflamatoxin hutengenezwa na molds ambao pia huathiri nafaka mbalimbali.

Naomba wataalamu wanaojua zaidi na wale ndugu zetu wa TFDA watufafanulie zaidi hatua ya kuchukua maana hii ni HATARI. Inaonekana hakuna chakula kilicho salama tuishi tu kwa matumaini.
-------------

Kushawahi kuwepo na taarifa hii mnamo mwaka 2016 hapa JamiiForums >> Chanzo cha ugonjwa ''Usiofahamika'' mkoani Dodoma chajulikana

JF Twt.PNG

IMG_5714.jpg

IMG_5715.jpg

IMG_5716.jpg

IMG_5717.jpg


----------------

TAARIFA YA GAZETI LA THE GUARDIAN 2017

Beware: Cancer-causing toxin found in sunflower seeds

sunflower seeds.jpg


Locally-produced sunflower edible oil has become a popular commodity among many households in the country, with many Tanzanians now engaged in sunflower seeds farming due to high demand for the crop.

In the current issue of PLoS ONE, the team of scientists documented frequent occurrence of aflatoxin -- a toxin produced by Aspergillus molds that commonly infect corn, peanuts, pistachios and almonds -- in sunflower seeds and their products.

This is one of the first studies to associate aflatoxin contamination with sunflower seeds.

The study was conducted in Tanzania, but the problem is by no means isolated there. Chronic exposure to aflatoxin causes an estimated 25,000-155,000 deaths worldwide each year, from corn and peanuts alone.

Since it is one of the most potent liver carcinogens known, the research to detect and limit its presence in sunflower seeds and their products could help save lives and reduce liver disease in areas where sunflowers and their byproducts are consumed, said Gale Strasburg, Michigan State University (MSU) food science and human nutrition professor and one of the study's co-authors.

"These high aflatoxin levels, in a commodity frequently consumed by the Tanzanian population, indicate that local authorities must implement interventions to prevent and control aflatoxin contamination along the sunflower commodity value chain, to enhance food and feed safety in Tanzania," he said.

"Follow-up research is needed to determine intake rates of sunflower seed products in humans and animals, to inform exposure assessments and to better understand the role of sunflower seeds and cakes as a dietary aflatoxin source."

Smallholder farmers in Tanzania grow sunflowers for the seeds, which are sold to local millers who press the seeds for oil and sell it to local consumers for cooking. The remaining cakes are used as animal feed.

The seeds become infected by Aspergillus flavus or Aspergillus parasiticus, molds that produce aflatoxin. This contamination has been well studied in other crops, but there is little research published on sunflower seed contamination.

Juma Mmongoyo, a former MSU food science doctoral student and lead author of the study, analyzed aflatoxin levels of seeds and cakes in seven regions of Tanzania in 2014 and 2015. Nearly 60 percent of seed samples and 80 percent of cake samples were contaminated with aflatoxins.

In addition, 14 percent of seeds and 17 percent of cakes were contaminated above 20 parts per billion, the level considered safe by the U.S. Food and Drug Administration. Some samples had levels of several hundred parts per billion.

"Billions of people worldwide are exposed to aflatoxin in their diets, particularly in places where food is not monitored regularly for contaminants," said Felicia Wu, the Hannah Distinguished Professor of Food Science and Human Nutrition and Agricultural, Food and Resource Economics at MSU and study co-author.

"Our previous work with the World Health Organization on the global burden of foodborne disease showed that aflatoxin is one of the chemical contaminants that causes the greatest disease burden worldwide."

To help solve that problem, Wu founded the Center for the Health Impacts of Agriculture. The center tackles global issues, such as antibiotics given to livestock and poultry that seep into soil and nearby bodies of water, and the association between malaria incidence and irrigation patterns in sub-Saharan Africa.

MSU scientists John Linz, Muraleedharan Nair and Robert Tempelman contributed to this study. Jovin Mugula of the Sokoine University of Agriculture (SUA) in Tanzania also contributed to the research.


Source: The Guardian
--------


==========

UPDATE:

Habari hii imetolewa Ufafanuzi na TFDA. Zaidi soma=>News Alert: - TFDA: Ufafanuzi kuhusu usalama wa mafuta ya alizeti
 
Aflatoxins ni carcinogenic (causing cancer) lakini hawa waashambulia nafaka nyingi tu hata mahindi sasa hilo gazeti limezungumzia alizeti peke yake, na ukumbuke jamii ya fangasi huota kwenye vitu vyenye unyevu (uchafu unaoleta unyevu) kwa mantiki hiyo kama alizeti zitaanikwa vizuri na kuandaliwa vema basi hazitaota hao fangasi.

Hata hivyo flatoxins zinaweza kuwashambulia watoto zaidi japo hata watu wazima wako katika hatari.

Mimi sio mtaalamu wa afya, haya nayajua kidogo kupitia evolutionary botany
 
Aflatoxins ni carcinogenic (causing cancer) lakini hawa waashambulia nafaka nyingi tu hata mahindi sasa hilo gazeti limezungumzia alizeti peke yake, na ukumbuke jamii ya fangasi huota kwenye vitu vyenye unyevu (uchafu unaoleta unyevu) kwa mantiki hiyo kama alizeti zitaanikwa vizuri na kuandaliwa vema basi hazitaota hao fangasi.

Hata hivyo flatoxins zinaweza kuwashambulia watoto zaidi japo hata watu wazima wako katika hatari.

Mimi sio mtaalamu wa afya, haya nayajua kidogo kupitia evolutionary botany
Umeelezea vyema sana mkuu bravo. Kuna publication moja niliwahi kukutana nayo awali, inasemekana MAHINDI yana kiwango kikubwa sana cha Aflatoxin. Na watu wanaotumia Unga bila kukoboa (Dona) wako hatarini zaidi kupata saratani.

On the same note tunaambiwa Dona ni bora kiafya. Nafikiri hizi tafiti nyingi zinaletwa kwa manufaa ya watu/wafanyabiashara.
 
....Karanga, mahindi, choroko, zite zikihifadhiwa vibaya hawa fungasi lazima wawepo sasa kwanini wanalenga alizeti tu? Sukari, petroli na mafuta ya kula ni "zana za vita" ya kiuchumi hapa Tanzania! Hapa naona soko la mafuta kutoka Malaysia limeanza kubuma kwasababu ya alizeti!
"Za kuambiwa changanya na zako" JMK
 
Back
Top Bottom