Karata za hapa kazi tu

Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
13,166
13,502
Habari zenu wakuu,nipo msibani hapa sasa baada ya kupata menu,mzee mmoja wa busara akasema vijana vipi hamchezi karata? Huku akituonyeshea kiboksi cha karata kipya.
Lakini zile karata baada ya kuzichukua nkakuta zina nembo ya taifa pamoja na bendera ya taifa zikisindikizwa na msemo wa hapa kazi tu, lakini ni made in china.
Hii imekaaje wadau.
bdf24e71cebb4e471419d9c6033db343.jpg
 
karata hapa kazi tu plus tanzania ya viwanda
lakini nimeziangalia vizur hapo... kitu "made in china"
 
Back
Top Bottom