mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Kama ndio Hivyo, Wahusika wanasubili nini Kupitia serikali za mitaa Kupiga Marufuku Kulima Mboga maeneo hayo?
Kuna Mto wami,Ruvu,Rufiji na mingine midogo midogo Huko kote panaweza kuzalisha mboga za kulisha jiji na Kubaki.
Ni tabia za masikini kupotezea Tatizo miaka nenda rudi, Ila kutumia nguvu nyingi na pesa nyingi kutibu magonjwa.
Hatua zichukuliwe, Jiji lisije kuwa la wagonjwa tupu...