Mshahara kwa waajiriwa wapya

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Mnamo tarehe 12/04/2017. Serikali kupitia TAMISEMI ilitangaza ajira za walimu wa Sayansi na Hisabati na kuwataka waripoti kwenye vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 18/04/2017.

Hivyo kwa mwezi huu wa APRIL walimu hawa wapya wapo kazini kwa takriban siku 13. Nini malipo yao kwa hizi siku 13 za mwezi APRIL?

KAMA KUNA HALMASHAURI ILIYOTANGAZA UTARATIBU WOWOTE WA MALIPO YA HIZI SIKU TUNAOMBA TUFAHAMISHANE.
 
utalipwa kitu kinaitwa malimbikizo ambayo ni sawa na 13/30* salary ya mwezi.

utalipwa kama deni, usije ukaacha kazi ukafuatilia.
 
Ukiripoti kazini, ukishaanza kupokea salary slip, nenda kwa H.R umwombe fomu ya kudai malimbikizo.
Ikijazwa subiri rais acheke. It can take one month, 2moonths etc. kulingana na mwajiri wako.
Ile form utaambatanisha na barua yako ya ajira, salary slip ya mwezi wa kwanza kupokea mshahara. Cha muhimu ni ile cheque namba yako ambayo itakuwa kwenye salary slip.
Utalipwa mshahara wa mwezi mmoja bila kujalisha kazi umefanya siku ngapi, hata kama mwezi huu hujafanya kazi, kinachotazamwa ni barua yako ya ajira.
Thanks.

Junior H.R.
 
Back
Top Bottom