mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
katika mahala ambapo matajiri wanatarajia kuongezeka afrika, Tanzania yetu imeibuka kwenye list, Ila wivu umenipata baada ya kuona tunazidiwa na majirani wetu tunaosadikika kuwazidi kila kitu. Tuwe serious Watanzania tupunguze Siasa, Tunaweza kufanya vizuri zaidi ya hapa
RAIA WA MAURITIUS NDIO RAIA WENYE UTAJIRI KULIKO NCHI ZOTE ZA AFRIKA
Rejereo
Data Africa Wealth Report 2017
RAIA WA MAURITIUS NDIO RAIA WENYE UTAJIRI KULIKO NCHI ZOTE ZA AFRIKA
Rejereo
Data Africa Wealth Report 2017