king Davidson
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 252
- 1,063
Ndugu wanajamvi.
Siku ya tarehe 30/04/2017 sisi vijana wenye hali na nguvu ya kulitumika taifa letu, tunakuomba kijana mwenetu kufika kuanzia saa 12;30 asubuhi kwenda kufanya usafi hapa Dar es salaam maeneo ya buguruni ili kuweka heshima ya mji wetu pamoja na Taifa kwa ujumla.
Takribani magari 30 tayari yamesha kodiwa na kulipiwa mafuta kutoka maeneo tofauti tofauti ya jiji la Dar es salam, hivyo usafiri wa kwenda na kurudi utakuwepo.
Maombi yetu kwenu.
Tunahitaji takribani vijana (wakiume) 500 ambao watakuwa na nguvu ya kuhimili ufanjaji wa usafi kwenye maofisi ya hapo buguruni, wenye weledi wa maswala ya judo, karate na mazoezi makali.
Kuanzia kesho kutakuwa na mazoezi ya viungo kwenye viwanja vya mipira vya mashuleni kujiandaa na usafishaji wa maofisi hapo buguruni.
TUMEJIPANGA KUFANYA USAFI, NA TUPO TAYARI KUSAFISHA OFISI ZA BUGURUNI.