Katika hali isio ya kawaida juzi kuna tukio la majambazi limetokea Luguruni kuelekea kata ya Kwembe. Kuna gari la Babro Johnson lilifuatiliwa na hawa wanaizaya wanne na boxer.
Walipofika karibia na tenki kubwa ndo wakawabania pale pale wakaamrisha waliomo kwenye gari watoe hela. Jamaa akamkabidhi burungutu la hela na bado wakaenda kwa dereva wakamshusha na kumlamba shaba ya mguu