Orodha ya Madaktari waliopangiwa mikoani na halmashauri

Shukrani kwa update
NAONA kuna kaupendeleo kwenye hako kamgao hususani kwa Mikoa ya Shinyanga, Simuyu, Geita haiwezekani Hospitali za mikoa hiyo zipatiwe mgao wa Madakatri wanne ilihali mikoa mingine yenye hali hospitali zingine za Mikoa kuambulia Daktari mmoja.

Mytake hawa tamisemi wangetumia akili zao vizuri hao madaktari wangewagawa kwanga kwenye hizi hospitali za rufaa za mkoa nashangaa wamewapeleka madaktari mpaka kwenye halmashauri ambazo hazina hospitali za wilaya na huwa wanategemea Hospitali za Mkoa

Mwisho tuache kuonesha upendeleo kwenye kugawa watumishi
 
Huwezi kujua labda mikoa hiyo ina upungufu mkubwa wa madaktari tofauti na mikoa mingine.
 
NAONA kuna kaupendeleo kwenye hako kamgao hususani kwa Mikoa ya Shinyanga, Simuyu, Geita haiwezekani Hospitali za mikoa hiyo zipatiwe mgao wa Madakatri wanne ilihali mikoa mingine yenye hali hospitali zingine za Mikoa kuambulia Daktari mmoja.

Mytake hawa tamisemi wangetumia akili zao vizuri hao madaktari wangewagawa kwanga kwenye hizi hospitali za rufaa za mkoa nashangaa wamewapeleka madaktari mpaka kwenye halmashauri ambazo hazina hospitali za wilaya na huwa wanategemea Hospitali za Mkoa

Mwisho tuache kuonesha upendeleo kwenye kugawa watumishi
Nadhani mchakato bado unaendelea wa kuchekecha hao madaktari, tusubiri mgawo mwingine tuone jinsi utakavyokuwa.
Uzuri madaktari waliopo mtaani wapo wengi na hawajapangiwa vituo vya kazi. Hiyo idadi ni ndogo sana waliyoitoa ambayo huwezi kulinganisha na wahitimu wa darasa moja kwa chuo cha MUHAS.
 
Back
Top Bottom