toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
Kinanishangaza sana watu kulalamika juu ya rais wetu kua hatendi haki kuwasimamisha kazi wafanyakazi wa uma waliofoji vyeti. Chakusikitisha zaidi unakuta mtu anasema kua "Ohh huyu alifoji miaka ya 80 sasa amesha qualified na hio kazi "inamaana mwizi alioiba mwaka 1995 akakamatwa 2017 asifikishwe kwenye vyombo vya sheria kwakua aliibaga zamani sasahivi nimkulima mzuri''
Tutembee nchi za jirani zetu ndio tutajionea mambo.
Kuna jamaa yangu wa karibu hadi leo anatikia kifungo nchini South Africa mwaka wa 6 huu yupo gerezani kufoji cheti cha udaktari.
Tutembee nchi za jirani zetu ndio tutajionea mambo.
Kuna jamaa yangu wa karibu hadi leo anatikia kifungo nchini South Africa mwaka wa 6 huu yupo gerezani kufoji cheti cha udaktari.