Naomba kufahamishwa mazingira ya Wilaya ya Busega!

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Wakuu,
Kwa wale wenyeji wa Busega,ningependa kufahamishwa:
a)Hali yake ya hewa,
b)Yalipo makao makuu ya wilaya
c)Kata zilizo pembezoni ma Ziwa Victoria
d)Umbali kutoka Makao Makuu ya Wilaya mpaka Mwanza Mjini
e)Kata au kijiji kilicho karibu na Mwanza!
f)Na ardhi yake ikoje?
g)Fursa zipi zipo?
 
Iko barabara kuu ya mwanza kwenda Musoma ni kilometer 90 toka mwanza mjini,Kwa Mawazo yangu hapo haswa ndipo pali stahili Kuwa Makao makuu ya mkoa wa simiyu.
 
@Nkwame Nkurumah snr asante,ni masaa mangapi mpaka kufika Mwanza?
Busega ina miundombinu ipi mizuri kushinda Bariadi?
Nadhani makao makuu yamewekwa Bariadi kwa kuwa ipo katikati,na ni mji unaokuwa kwa haraka sana!
 
Back
Top Bottom