Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana-JF, Nimekuja kwenu ndugu zangu kwa ajili ya kumuombea msaada mlemavu aitwaye ndugu Erneus Athanas Mhagama wa Jijini Mbeya. Mhagama Msaada anaouhitaji yeye ni kupata bajaji ili...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Donald Trump: N Korea's Kim Jong-un a 'smart cookie' 30 April 2017 These are external links and will open in a new window Share this with Facebook Share this with Twitter Share this with...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Hili nimeliona watanzania wengi ukiwaambia kuna kazi njoo ufanye anakuuliza atakaa ofisini ukimwambia hapana hataki aisee maisha hayana njia ya mkato waliofanikiwa wote wamepita njia ndefu...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Hii nimeiona mahali fulani nikaona niwaletee ili mapoyoyo wanaodai sijui kuna njaa,oh sijui hali ngumu ,maisha juu someni na hizi ndio fursa,badala ya kupoteza muda hapa JF tuchangamukie fursa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
HABARI YA JUMAPILI NDUGU WANA WA BUKOBA NA MKOA KAGERA KWA UJUMLA. Nawasalimia na kuwapa pole kutokana na mtikisiko wa tetemeko la ardhi uliojitokeza kwa mara nyingine usiku wa kuamkia leo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwaka 2008 huduma za kifedha zilikuwa ngumu kupatikana kwa watu wa chini hasa maeneo ya kijijini ambapo 2/3 ya Watanzania wote wanaishi vijijini na shughuli yao ni kilimo. Kampuni ya Vodacom...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Husika na Kichwa cha habari , Ndugu mshana jr tafadhari tafadhari naomba unitumie yale mapicha yako yakichawi chawi muda huu Maana usingizi hauji kabisa Tafadhari sana . mshana jr mshana jr
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeshuhudia Awamu Hii ya Tano Ya uongozi wa Nchi Yetu ya Tanzania imepata Viongozi wenye kutoa hotuba za Uropokaji. Nazani wakipitia kusikiliza hotuba zao watakuwa wanajuta matamshi yao na...
1 Reactions
1 Replies
711 Views
Orodha ya madaktari ikionyesha halmashauri walizopangiwa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu sana jamvi naomba mwenye kujua kujiunga vyuo vya ualimu certificate kwa mwaka huu in link na vigezo gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna lorry limeanguka kimara mwisho kwenye zile kona kona katikati ya barabara. Gari zinazoruhusiwa kupita ni ndogo na moja moja tu. Kuna foleni ndefu sana la malory na mabasi ya mikoani. FYI.
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu, kuna hali inanitokea sana mpaka najikuta najishangaa 2,labda mimi mtu wa ajabu au vp.. Yani naweza fanya jambo alafu nastuka kwamba nilishafanya hivyo ila sikumbuki mda gani ila nakuwa na...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
Rais Magufuli ameingia ibada misa ya asubuhi kanisa la KKKT Moshi mjini karibu na bus stand! Inada inangozwa na askofu Shoo.
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Poleni wanayeboyebo, Mkungugu hautobolewi kwa yeboyebo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Laiti Tanzania ingelikua na vyama vya wafanyakazi imara vyenye Nia na dhamira ya dhati ya kutetea wafanyakazi basi siku ya Jana isingekwisha bila ya kutolewa tamko la pamoja ya kutoruhusu...
12 Reactions
83 Replies
7K Views
Habari za leo rafiki yangu, Ni matumaini yangu kwamba uko vizuri na unaendelea kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Lakini licha ya juhudi unazoweka, yapo mambo ambayo huenda...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Leo nikiwa kwenye daladala nilikaa kwenye siti, row ya 3 hivi kutoka mlangoni, siti za mbele yangu walikuwa wamekaa wanawake watupu, maeneo fulani hivi akaingia mdada mjamzito tena tumbo kubwa...
8 Reactions
167 Replies
13K Views
Mh Waziri hustahili kuendelea kubeba dhamana hiyo uliyokabidhiwa. Matukio haya siku za karibuni yamenikumbusha matukio mawili ya kuuawa watanzania wenzetu zaidi ya 50 huko Kagera mwezi wa tisa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu wa jamvi, Jana nilikuwa kwenye msiba wa nduguyangu huko Kongoe ya Dar, wakati tumemaliza majukumu muhimu tukawa tunajadili hili na lile na wengine wakiwa wanaendelea na mambo mengine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada tu ya Tangazo la Rais Magufuli kuondolewa na kutangaza ktk vyombo vya habari watumishi wenye vyeti fake nadhani ni muda pia muafaka kwa kuwatia moyo kwa msamaha huo wa Rais. Kwanza mpo nje...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom