Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Salama Ndg zangu.
Kumekuwa na taarifa zinazokinzana (sana) kati ya Mamlaka ya hali ya hewa nchini(TMA) na hali halisi yenyewe. Na hili limekuwa kikwazo kikubwa kwa sisi wakulima kuhusu hizo taarifa kanganyifu za TMA. Pia hizi taarifa zisizo sahihi za upepo baharini huwachanganya sana waendesha mitumbwi, ngalawa nk hasa wale wavuvi. Wengi wamekuwa wakizama kwa kuwa hawana taarifa sahihi.
Mathalani wanaweza kutabiri kuna jua halafu kukawa na mawingu na mvua ya kutosha nk nk.
Sasa basi, kipindi hiki n cha mvua kubwa DSM, wote tunasikia na tunajua. TMA wametumia hiyo kick kutoa taarifa yao et 'kutakuwa na mafuriko Dsm'.
Nanukuu:
Wakazi Dar watahadharishwa juu ya mvua kubwa na upepo mkali
Kwani mafuriko ya mwezi March Dsm mlitabiri?
Mnatumia vifaa gani kutabiri mambo ya hali ya hewa?
Rain Gauge ni kifaa cha bei rahisi sana kupima kiwango cha mvua.