mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Ukweli serikali ilimwajiri mtoto wangu mnamo tarehe 1/06/2016 kwenye mahakama ya mwanzo kama hakimu, alipewa pesa za kujikimu na alipewa mkataba wa kazi na akapangiwa kituo cha kazi na alianza kufanya kazi.
Uhakiki ulipoanza mwanzoni mwa mwezi wa saba 2016 walirudishwa nyumbani na walikuwa jumla ya 348. Toka wasitishwe ajira mpaka sasa kijana wangu ana BP, nikimuuliza anasema ana mawazo sana kwanini serikali imwajiri na kumrudisha nyumbani wakati ana vyeti halali?
Nimemsomesha kwa shida sana, ndio nilimtegemea sasa anaumwa hata kufanya kazi anashindwa, sasa serikali sijui mimi mzee nimeikosea nini jamani?
Hili suala limeongelewa sana humu lakini hakuna kiongozi wa CCM, CHADEMA au ACT ambaye amesimama kuliongelea hili la kusitishiwa watu ajira zao huku wakiwa wamepewa mikataba na kupangiwa vituo vya kazi.