Gutapaka
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 283
- 218
Ninavyo fikiri mimi, wakati umewadia kwa serikali kubadili mtaala wa elimu kote mafunzo na ufundi na kununua teknolojia itakayo tumika mashuleni ili kuendana na Dunia ya sayansi na teknolojia. Katika elimu ya juu kuanzia A.level, vyuo vya kati na vyuo vikuu serikali isomeshe vijana buree, kisha suala la ajira kila mmoja ajitegemee. Tuone kama watu watalalamika lakini mtaala tulio nao umepitwa na wakati na unamfanya muhitimu kuwa tegemezi sana na kusubiri kuajiriwa tena na serikali. Kwa ujumla haufanyi wahitimu kuwa washindani ndani na nje ya nchi.