Je, Mfanyakazi na mkulima, nani zaidi?

Kahungwe

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
249
163
Wana JF,

Kesho ni Mei mosi, Sikukuu ya wafanyakazi nchi yetu ni ya wakulima na wafanyakazi. Nanenane pia huwa ni sikukuu ya wakulima.

My take
Ninavojua mfanyakazi akistaafu baada ya kulitumikia taifa hulipwa kiinua mgongo (pension).

Mkulima baada ya kulitumikia taifa kwa kazi yake ya kuzalisha mazao na wananchi kupata chakula akistaafu huwa analipwa kiinua mgongo (pension)? Kama halipwi ni kwa nini? Kitu gani kifanyike.

Je, Mfanyakazi na mkulima nani zaidi?

Toa maoni yako.
 
Kwani mkulima huwa analipwa ujira? na uaposema hulipwa pension mm ninavyojua hizo ni PESA zao waliziwekeza mda wao wote wakati wakitumikia kaz za mwajiri wao
 
Skukuu ya wafanyakazi inaenziwa na waroma kwani mei mosi ndo alipotangazwa Yusufu kuwa mfanya kazi bora coz hakuweza kudondo na bikra maria mpaka kufa kwake,,,,,, ndo hvo kama hjui
 
Back
Top Bottom