Raisi wa jamhuri ya jamhuri ya muungano wa tanzania dr jpm kuhutubia mei mosi mkoani kilimanjaro.

book11

JF-Expert Member
Mar 24, 2017
700
390
Mheshimiwa dr jpm anatarajiwa kutoa hotuba ya mei mosi ambapo kitaifa itafanyika moshi tar 01.05.17 katika viwanja vya chuo cha ushirika MUCCOBS(MOCU)
Mji wa moshi umekuwa busy kutokana na ujio huo,haswa ofisi za umma.
Je wafanyakazi wategeme jipya litakalotokea ?au ni yale yale?
 
Interval ndogo sana toka ahutubie yudom anaenda kuhutubia chuo cha ushirika.
Kwa kuwa hana cha maana cha kuwaambia wananchi tarajieni mafyongo ya nguvu!!!
 
Kilimanjaro? Maajabu ya Musa!

Nadhani anaweza kuwa na maneno mzr kwa wafanyakazi kipindi hiki, vinginevyo, asingeenda huko!
 
Interval ndogo sana toka ahutubie yudom anaenda kuhutubia chuo cha ushirika.
Kwa kuwa hana cha maana cha kuwaambia wananchi tarajieni mafyongo ya nguvu!!!
Wewe ndio huna cha kusema.Rais ana uwezo wa kuongea kila siku jambo jipya
Tuone kama mbunge wa chadema atahudhuria
 
Mheshimiwa dr jpm anatarajiwa kutoa hotuba ya mei mosi ambapo kitaifa itafanyika moshi tar 01.05.17 katika viwanja vya chuo cha ushirika MUCCOBS(MOCU)
Mji wa moshi umekuwa busy kutokana na ujio huo,haswa ofisi za umma.
Je wafanyakazi wategeme jipya litakalotokea ?au ni yale yale?
Yale Yale yapi.
 
Wewe ndio huna cha kusema.Rais ana uwezo wa kuongea kila siku jambo jipya
Tuone kama mbunge wa chadema atahudhuria
Ni kweli ataongea!!
Sikiliza atakachoongea sasa ndio urudi hapa.
"hawapendi wanasiasa halafu alienda peke yake kuchukua fomu za kugombea cheo cha kisiasa"

Kama ni shetani basi huy ni Belzebuli.
 
yale yale ya kutotatua madai na matatizo ya watumishi wa umma
 
*#Kuanzia Jumanne ijayo, ukiona mtumishi wa umma haendi kazini, anacheza cheza na watoto hapo nyumbani, usiulize maswali mengi!
 
Back
Top Bottom