Kumbe ni afadhali Tanzania!!??

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,641
11,956
Kwa wale mliopo Uganda hebu tuambieni, je ni kweli bei ya sukari imefikia 4500/=shs.??
Kama ni hivo kumbe huku kwetu tunanafuu.
 
4500 Sh za wapi? Za Uganda si sawa na za Tanzania.

Vipi ukiambiwa kuna nchi kilo ya sukari ni shilingi moja, lakini hiyo shilingi moja yao ina thamani ya shilingi laki moja za Tanzania?

Hapo utasemaje?
Uganda mkuu.
 
Dam55 wingi wa digits haimanishi ndo thamani yake. 1 $ ni 2225 tsh za Tz. ina maana mtu akitoka us akasema sukari kg. 1 ni dollar moja utasema heri yenu? The same amount. Au £ 1 sterling ni sawa na 3250 tsh. akisema huku sukari ni cent 80 si utaruka? Uganda pesa yao inazidi kupaa toka kuzimu. Wakati wa Idd Amin sh. ya Tanzania moja ilikuwa kama ush.50,000/= sasa tsh. 1 = ush. 20 au 30 sasa ona wanavyokwenda. Soon sh. ya Uganda watatupita sababu ninavyoangalia kwenye soko la pesa, kila siku Uganda ina kwenda juu ambapo Kenya inashuka na kubaki pale pale. Uchumi wa Uganda unakua sana na wana investors wengi ambao wamepewa uhuru kufa nya kazi na mazingira mazuri. Mseveni anaweza kuwa dicteta lakini mjanja. Waganda wamejaa dunia nzima wanafanya kazi za ualimu, engineering na nchi ambazo huwezi fikiria zinawapa kipaumbele kupata visa mitandaoni. Tanzania haipo hivyo sisi pesa yetu ya nje ipo limited hatuna watumaji wengi na ndo maana currency yetu ipo chini. Wakenya vile vile wapo nchi nyingi wanafanya kazi. Tatizo letu LUGHA na ELIMU !!!!!!!
 
Ni kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom