Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,499
- 5,287
Mtu anaeishi Tanzania anapo potelewa na kitu mfano: kadi ya bank, kitambulisho cha kazi ama nyaraka muhimu zinazo muhusu, anatakiwa kwenda kuripoti polisi kwa ajili ya kupatiwa loos liport, ila kwa bahati mbaya ukienda polisi mara tu baada ya kupotelewa huwezi pata loss riport, mpaka uwe na udhibitisho toka kwa aliekupatia nyaraka hiyo, kama kitambulisho mwajiri wako.
Mimi nilidhani huduma ya kupatiwa loss riport ni jambo linalohitaji haraka, mara unapogundua kuwa umepotelewa na nyaraka yako, unatakiwa kulipoti kituo kilicho karibu, sababu ikiwa kujikinga na watu wabaya ambao wanaweza kukuibia ama kuokota, nyaraka yako, wakaenda kuitumia kwenye uharifu, na ile nyaraka yako ikatupwa eneo la tukio, ili kukusakizia wewe kuwa umehusika na uharifu.
Kumbe hili kwa polisi sio jambo la haraka, tofauti nilivyokua nikifikila mimi, maana kuna ratiba kabisa ya kutoa huduma hii na baadhi vituo vya polisi, imebandikwa kabisa. Ratiba ya kushuhurikiwa kesi hii ni, jumatatu kuanzia saa nne asbuhi mpaka saa kumi na mbili jioni, baada hapo hii kesi haipokelewi. Siku za mapunziko juma mosi, juma pili na siku za sikuu pia kilesi hii haipokelewi tu.
Ombi kwa jeshi la polisi, ili kuboresha huduma hii, mtu anapokuja na shida hii nje ya muda, ama kwa kutotimiza vigezo vingine mnavyo vihitaji ili loss riport kuweza kutolewa, aandikiwe kikaratasi kikionyesha kituo alicholipoti muda, na kigongwe muhili wa polisi, ili kumlinda kwa muda huo kuliko kumuacha aende bila maandishi yeyote yanaweza kumlinda, pindi nyaraka zake zitumiwapo vibaya na waharifu.
Nadhani polisi kupitia andiko hili wanaweza kutufafanulia zaidi hii loss riport inafanyaje kazi na maana yake.