More problems
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 432
- 257
Kupata maarifa na stadi za maisha ni jambo endelevu
Awamu ya tano ya uongozi wa mheshimiwa imenifunza yafuatayo.
#1. Kutosikiliza watu pale unapokuwa na mipango yako
#2...Kuwa upande wa rafiki yako katika mazuri na mabaya
#3. Unafiki ni sehemu ya maisha na ukiwa mkweli unakufa Mapema
#4. Fisi hawezi mzaa kondoo. Anayrtoka kwenye ukoo wa fisi ni fisi
#5. Maneno sio matendo. Unaweza ukasema umesamehe halafu ukamuadhibu mhusika