Kiinua mgongo kipo??

Double square

Member
Feb 15, 2016
58
16
Naombeni niulize nina miaka 25 kazini bahati mbaya nilitumia cheti cha mtu wamenigundua ni miongoni mwa list ya watu wenye vyeti feki / kubushi sasa kutakuwa na kiinua mgongo kidogo au ndo wametuchinjia baharini
 
Kipo Mkuu..we nenda kajisalimishe kwa Jamhuri...tena unapewa cha miaka 7 ijayo
 
Kipo sana..Nenda Segerea, Keko au Ukonga chaguo lako tu mahali pa kwenda kupokelea kawaambie tu nipo ktk ile list ya watumishi 9,000 wa Magufuli aliowaondoa.
 
Yaani cheti sio chako.

....pamoja na kuwa sio chako, cheti hicho bado in feki yaani cha kugushi.....duuuuh!!

wewe kesi yako in very special aisee!!!
 
Pole sana Mkuu, miaka 25!! Umesimanga watu, umetukana sana, umepata posho nyingi, umejiita Eng.,Mara Dr., umefukuza na kufukuzisha watu kazini, umenyanyasa watu, n.k. Kumbe hata Vyeti si vyako! Sasa Mungu kakuona,
Utawekwa kundi moja na wale wa Bodi ya mikopo. Yaani hadi gerezani utakuwa unalipa deni, sijui utazitoa wapi.
Usijali ila nikukute Central
 
Kwan ww humo ktk wataoenda mahakamani kudai haki yako ya kiinua mgongo? Mkuu aliwahi kusema mtaishi km mashetani watu wa aina yako mkaona anatania mmezoea siasa.
 
Mbona waliotumia vyeti ambavyo ni original alisema atashughulikia mwezi wa Tisa? Kwako imekuwaje? Maana wa Tisa atakata mshahara kwa wanaotumia cheti 1 zaidi ya mtu 1
Mukisha lalamika mwenye cheti atarudishwa kwenye payrol
na wengine kufikishwa mahakamani
 
Back
Top Bottom