Chuma kimedondoka kutoka wapi au chuma cha nini?Kuna bonge LA foleni ubungo mataa..kuna chuma kikubwa kimedondoka kimefunga njia ya mwendo kasi
Naona winch la UDART ndiyo wanapambana kulitoa..watu wamedoda kwenye foleni.
KimondoChuma kimedondoka kutoka wapi au chuma cha nini?
PichaKimondo
Leta picha ww
Kama ingekuwa ni kitu cha hatari Ina maana hao watu zaidi ya 10 wangepoteza maisha yao mchana huu!!!Yaaah.... kimedondoja toka katika truck iliyokuwa inatoka upande wa ubungo maji kuelekea buguruni. Chuma kipo kama masunduku ya bati ya watoto wa shule kwa ukubwa. Watu zaidi ya kumi walifka chapu ili walisogeze lakini halikusogea hata nukta wakaliacha. Mimi nilikuwa katka mwendo kasi ya kuelekea mjini hivyo sijajua kilichoendelea
Shushu hilo kalio hapo kwenye avatar ni wewe? daaah mpaka nimedisaLeta picha ww