WAFANYAKAZI KATAENI KUCHANGIA TUCTA

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,242
Waliahidi kwenda mahakamani kufungua shauri kuhusu makato makubwa ya bodi ya mikopo yaliyovunja sheria. Mpaka leo wamezubaa , LHRC ndio wamekwenda mahakamani. Wafanyakazi kataeni kukatwa hela yenu, jitoe kwenye upuuzi huo! AMKENI!
 
Back
Top Bottom