Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,137
- 13,824
Nimekaa nimejiuliza kwanini unaweza ukavumilia kukaa na vinyesi vya kuku, bata, ng'ombe, mbuzi, kondoo, au hata nguruwe bila shida yoyote lakini huwezi kuvumilia kukaa na kinyesi cha mbwa, paka na binadamu maana harufu yake haivumiliki.
Je Hawa viumbe wanakula nini mpaka vinyesi vyao viwe vinatoa harufu Kali?
Je Hawa viumbe wanakula nini mpaka vinyesi vyao viwe vinatoa harufu Kali?