Waziri Lukuvi kwa hili umekengeuka!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Nimekusikia mahala ukisema kuwa Tanzania imechukuwa Wataalam wa kufanya Master Plan ya Mkoa wa Dodoma kutoka nchini Singapore kwahiyo ndiyo kusema Wataalam wetu wa Chuo cha ARDHI ni bogus au ni incompetent?

Kazi tunayo Waafrika hakyanani.
 
Wataalam wetu wa Ardhi ni bogus kabisa.
Nipe jina la mmoja tu aliyefanya vizuri.
HAKUNA.

Baada ya uhuru, wajerumani waliipanga vizuri maeneo ya Temeke, Wailes, Magomeni, sehemu za Kinondoni.
Barabara pana na nyumba zinna nafasi.

Baadaye "wataalam wetu" waliipanga Sinza na Mwenge, Mbezi Beach na tunaona uozo, hata gari mbili hazipishani.

Mtu katoka kijijinni hana maisha ya uzoefu wa miji, atakupangia nini?

Tukubali ukweli, wataalam wa upimaji ardhi hatuna.
 
Wataalam wetu wa Ardhi ni bogus kabisa.
Nipe jina la mmoja tu aliyefanya vizuri.
HAKUNA.

Baada ya uhuru, wajerumani waliipanga vizuri maeneo ya Temeku, Wailes, Magomeni, sehemu zza Kinoondoni.

Baadaye "wataalam wetu" waliipanga Sinza na Mwenge, Mbezi Beach na tunaona uozo, hata gari mbili hazipishani.

Tukubali ukweli, wataalam wa upimaji ardhi hatuna.
Siyo kweli, tatizo wataalam hawasikilizwi na wana siasa.
 
Wamwite "master planner-general" Kitwana Kondo liyeuvuruga kabisa mji huu akiwa meya

KITWANA%2BKONDO.jpg
 
Kwa wataalam wa mipango miji hapa wapo?? Walipanga mji gan ili tutolee mfano
 
Wataalam wanazidiana. Hao wa nje wana nafasi yao na hawa wetu wana yao. Wachina wametapakaa kila pembe ya nchi wakijenga majengo hii haina maana ndani hatuna wajenzi bali ni uhitaji wa soko kwa wakati husika.
Muheshimiwa waziri yuko sawa....
 
Mashiko yapo, kila mmoja analinda ugali wake, unakuta diwani, DC, DAS, DED, RAS, RC, Mbunge, Katibu Mkuu, Waziri n.k kila mtu anatoa maelekezo yake kwa wakati wake, je mtaalam atafanyaje kazi?
Mkuu kama wewe ni "mtaalam " wa ardhi na upimaji, tafuta kazi nyingine.
 
Waziri yuko Sahihi kabisa watu wa Ardhi ni Bogus na ukitaka kujua hata ile Makongo juu ambayo ni jirani na AU hawakuweza kuplan
 
Back
Top Bottom