Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,300
Reaction score
47,328
Mzuka Wanajamvi,

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharini na kumezwa na nyangumi. Nadhani story mnahifahamu.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadi leo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajusi waliompelekea mwokozi wetu zawadi walikuwa wakirudi maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma na Gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa Mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa Musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza Uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia na Brunei kumbe ni Otoman Waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
 
hahaha mkuu benny. Inaonekana gundu la Sodoma inaindama sana Iyo nchi. Tigo Kwa ke tu ndio inakubalika lakin Kwa me gundu lake la kudumu.

Hahaa Copenhagen Tigo ni tatizo kwa wote Biblia imetuficha kidogo ile miji ingepaswa iwe wazi
vizazi na vizazi wakashuhudie
 
ndio mkuu the boss. Otoman empire imechangia sana kueneza uislam. Pia ndio hao walipeleka Uislam Kosovo, Albania Na Bosnia Herzgovina. Ila walijaribu sana kuwasilimisha sana wa Armenia lakini walikomaa


Historia inavyo andikwa na wazungu sio historia kamili

ndo maana wanasema Livingstone aligundua Ziwa Tanganyika
 
Mzuka Wanajamvi!

Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa Na Mungu kupeleka neno akala kona na kuingia chaka. Ikabidi atupwe baharin Na kumezwa Na nyangumi. Nadhan story mnahifaham.

Kumbe pia Ayubu ama Job alikuwa MuOmani ama Myemeni kaburi lake hadileo liko kati ya Yemen Na Oman.

Kumbe Pilato alikuwa Mfaransa (Gaul) ambalo lilikuwa jimbo la Kirumi.

Wale mamajus waliompelekea mwokoz wetu zawad walikuwa wakurd maeneo ya Tikrit Iraq.

Sodoma Na gomorrah ilikuwa ndio Syria.

Jezebel alikuwa mlebanoni (Phoenician) kutoka mji wa Sidon ambapo Sasa hivi Hezbollah wamejikita.

Mke wa musa Zipporah alikuwa Muafrika kutoka Ethiopia.

Nilikuwa najiuliza uislam ulifikaje hizi nchi Malasyia, Indonesia Na Brunei kumbe ni Otoman waturuki waliufikisha huko Ata mji wa Aceh ni kituruki.
Hongera sana kutujuza mazuri sio kila siku siasa tuu, tumechoka
 
Back
Top Bottom